Tuesday, September 2, 2014

hatimaye blog ya team rau yarudi hewani

Baada ya kuwa kimya kwa kitambo kidogo kwa maboresho ya hapa napale hatimaye blog hii itakuwa hewani tena mwezi huu wa tisa.

Tunaomba radhi kwa wapenzi wetu wote kwa muda ambao hatukuwa hewani,pia tunaomba muendelee kutembelea blog yetu.
Ahsante

0 comments:

Post a Comment