Thursday, September 11, 2014
Home »
» Unawapa somo gani wadada waliobakiwa na magari ya kuhongwa, Simu za gharama za kuhongwa, majumba ya kuhongwa huku wakiyakosa Mapenzi? Hakuna kitu kinachoumiza moyo kama mapenzi hata kama unamiliki dunia. Utajikaza tu lakini, maumivu yako pale pale; hata unywe hadi ulewe, uvute hadi uchizike. Cha muhimu ni kumheshimu akupendae, hasa kama tayari mpo kwenye kiapo cha ndoa. Mwaka juzi ilitokea nchini Nigeria; Wanawake zaidi ya 8,000 waliandamana hadi kwa waziri kuitaka serikali iwatafutie wanaume wa kuwaoa, la sivyo watachukua wanaume wa wale wenye ndoa ili wawatumie kwa zamu. Ongezeko la watu Tanzania na hii rate wakizaliwa watoto 10, wa kiume na wawili, itajakuwa hivyo siku si nyingi. It is easy to say "i want to be single lady" but it is very difficult to maintain singlelism.
Unawapa somo gani wadada waliobakiwa na magari ya kuhongwa, Simu za gharama za kuhongwa, majumba ya kuhongwa huku wakiyakosa Mapenzi? Hakuna kitu kinachoumiza moyo kama mapenzi hata kama unamiliki dunia. Utajikaza tu lakini, maumivu yako pale pale; hata unywe hadi ulewe, uvute hadi uchizike. Cha muhimu ni kumheshimu akupendae, hasa kama tayari mpo kwenye kiapo cha ndoa. Mwaka juzi ilitokea nchini Nigeria; Wanawake zaidi ya 8,000 waliandamana hadi kwa waziri kuitaka serikali iwatafutie wanaume wa kuwaoa, la sivyo watachukua wanaume wa wale wenye ndoa ili wawatumie kwa zamu. Ongezeko la watu Tanzania na hii rate wakizaliwa watoto 10, wa kiume na wawili, itajakuwa hivyo siku si nyingi. It is easy to say "i want to be single lady" but it is very difficult to maintain singlelism.
1:37 AM
No comments
0 comments:
Post a Comment