Sunday, January 4, 2015

rau yafuka moshi

moto mkubwa wateketeza maduka ya biashara na kuacha watu midomo wazi moto huo ambao chanzo chake akijajulikana  ulitolea majira ya saa nne usiku na kutetekteza saloon ,stationery na chumba kimoja shirika la zimamoto lifika eneo la tukio na kusaidia wasamaaria wema kuzima moto huo uchunguzi wa chanzo cha moto huo bado unaendealea

0 comments:

Post a Comment