This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Sunday, November 23, 2014

shambulio lla basi kenya lina madhara gani ki din na kisiasa

watu wanaoaminika ni wafuasi wa Al-shabab wamewaua watu wapatao 28 kwenye shambulio la basi lililokuwa linaelekea kwenye mji mkuu wa Kenya,Nairobi,tukio hilo limetokea mpakani kabisa mwa Somalia.Kikundi cha kiislamu cha Al-Shabab kimeanza mashambulizi dhidi ya Kenya Tangu 2011,na BBC iilifanikiwa kumuhoji mtu anaeaminika alikuwa anashuhudia tukio amesema baada ya kufanikiwa kusimamisha basi hilo huku wakiongea Kisomali waliwapiga risasi abiria wote ambao sio Wasomali,shahidi huyo alisema
Basi hilo lililokuwa limebeba abiria 60 lilitekwa nyara alfajiri na abiria 28 walipigwa risasi na kuuwawa.
Wengi waliouwawa ni kutoka maeneo mengine ya Kenya ambao wakifanya kazi Mandera.
Inasemekana kuwa wengi wao walikuwa waalimu na wafanyakazi wa wizara ya afya ambao walikuwa wanarudi nyumbani kuwa na familia zao wakati wa Noeli.
Msemaji wa wapiganaji wa Somalia, al-Shabaab, alidai kuwa walihusika na shambulio hilo.
Wanajeshi na polisi wametumwa huko kwenda kuwasaka wale waliohusika na shambulio hilo lakini hakuna taarifa kuwa wamekamatwa.

mauaji ya kinyama jijini dar

Genge hatari limeibuka Dar ambapo limeua kinyama wasichana wawili marafiki na miili yao kutupwa maeneo tofauti.
Wasichana waliouawa ni Wanze Makongoro mwenye miak na23 ambaye ni mpwa wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mecky Sadicky  na Jackline Masanja ‘Salha’ aliyewahi kusikika katika ipindi chanjiapanda kinachorushwa na kituo cha ClaudsFm.
Usiku wa kuamkia November13 inadaiwa Wanze aliwaaga marafiki zake kuwa anakwenda kutengeneza simu Mlimani City na hakuweza kurudi tena hadi mwili wake ulipookotwa katika mto Msimbazi na kwenda kuhifadhiwa katika hospitali ya Muhimbili.
Kutokanana tukio hilo jeshi la Polisi Dar limeingia katika lawama kupitia kwa ndugu wa marehemu huyo kwani tangu msichana huyo alipopotea na ndugu kutoa taarifa hawakuweza kupata taarifa yoyote hadi walipofika Muhimbili na kukuta mwili wake.

Thursday, November 20, 2014

sha2(jesus classic soldiers)_nimeuona upendo wako

goma jipya la kumtukuza mungu katika mahadhi ya hiphop (gheto gospel ) neno litafika kwa wote bofyahttps://www.hulkshare.com/nellyms/sha2

Wednesday, November 19, 2014

hayaw hayawisasa yamekua ni teknologia mzung ndo kataka ivyo kazi kushnei

vibarua vinaelekea kuota nyasi ndio ni maendeleo marekani kuanza kutumia ma roboti katika shughuli zao
Sio raia wa Australia pekee walio na wasiwasi kuhusu kupoteza kazi zao kwa mitambo inayojiendesha.Zaidi ya thuluthi moja ya ajira nchini Uingereza ziko katika hatari ya kuchukuliwa na mitambo ya kujiendesha katika kipindi cha miaka 20 ijayo kulingana na ripoti ya Deloitte.Utafiti huo umebaini kwamba ajira ambazo watu hupata kipato cha chini kuna uwezekano mkubwa zikachukuliwa na mitambo hiyo ya Roboti ikilinganishwa na kazi zinazolipa vizuri.Baadhi ya ajira ambazo ziko katika tishio la kuangamia ni kama vile za usaidizi wa afisi, mauzo na huduma, usafiri, ujenzi, uchimbaji na uzalishaji.