Ni Katikaa harakati nyingine za kuinua game ya hiphop Bongo.Julian damas a.k.a mtoto wa mwenye duka aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha ngoma time na east Africa top 10 cha kituo cha redio SAUT FM Mwanza aliwachukutanisha wasanii kadhaa wanaofanya michano ambao pia ni graduates wa course ya Public Relations and marketing katika chuo cha SAUT na kufanya Cypher moja matata chini ya baraka za beat takatifu toka kwa StarBitz na vocak na mixing toka kwa choppah.
Huku ndani wapo wakali kama Bonz, tojo, alba 1,dede jr, mganga, God-son (miracle) Ben Barro, kalla woka na julian(jully D) mwenyewe .
...inatoka tarehe 10/12/14
Kaaa tayari kuiskia
#JULIAN MUSIC 2014
WE DO FOR THE PEOPLE
0 comments:
Post a Comment