Leo kwenye mkutano Wa hadhara kata ya Unga ltd mwenyekiti uvccm martin Munisi amemwonya Mbowe na chadema kuacha kuendeleza mikwara yao ya kila siku
2010 chadema walisema nchi hii haita tawalika mpaka Leo nchi inatawalika na maandamano ya m4c yaliishia kwa Mbowe na Lema kulamba pesa za m-pesa za wavuja jasho
Kama chadema wathubutu kuingia bara barani ile kauli ya pinda itumike kikamilifu wapigwe tuu maana ni wahuni na wababaishaji
Mbowe ni mwongo Kama shetani hapa Arusha kila akiitishaa maandamano huwa noma ikitokea anakimbia anawaachia vijana wenzetu noma wanakamatwa kupigwa risasi na kumizwa bure mfano nmc Mbowe na slaaa walisema tunakaa pale siku Saba massa sita kitendo cha polisi kufika nmc Mbowe alikimbia toka Arusha mjini mpaka Tengeru kwa Mtei baba mkwe wake
Baada ya mabomu sowetho serikali ilikataa mkutano Wa hadhara chadema wakalazimisha kufanya mkutano noma ilipotokea Mbowe na Lema walikacha pikipiki za vijana Wa Arusha na magari yalikamatwa na kupata usumbufu mkubwa Sana Wa kuzikomboa
Msikubali kudanganywa na hawa wahuni kwani hawana nia mzuri
Katiba haipo huku bara barani inapatikana mjengoni Dom. Kama nikuandamana wakaandamane kwenye jengo LA bunge LA katiba
Chadema na Mbowe ni watumishi Wa wakoloni na nia ya wajerumani nikurudi kututawala ndiyo maana wanawapa pesa siku sisi tukianza kuuana hapa wao watakimbilia huko kwa waliyo watuma
Tanzania niyetu sote tusikubali kugawanywa Arusha kwasasa hatudanganyiki tena Lema akija tena hapa mdaini zile machinga complex na zile Hosp.tatu aliahidi